Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

39c8ed658fcdd1000c05b08faaf076ba.jpg
 
Numbisa, unajua nini? Lukaku ana mpira wa kuvizia, anategemea kuwa anatengenezewa pande games nyingi! [emoji1][emoji1]
Hapana lukaku yupo vizuri ila tangu aje ibra ,lukaku kaondolewa nafasi aliyoizoea so kahamia upande ambao anacheza kwa kugawia wenzie mpira cheki zile assist alizotoa kimakosa,mech nying anatoa sana assist kwa wenzie
 
Kama ilivyo nzi, nyuki hutua maeneo mbalimbali kutafuta malighafi kwa ajili ya kutengeneza asali. Katika harakati hizo nyuki hutua maeneo mengi kuchukua vitu muhimu kwa ajili ya kutengeneza asali.
 
Ingawa nzi anatembea maeneo machafu, wanasayansi wanasema hata maeneo ambayo nyuki anatembelea kutafuta vitu kwa masilahi yake, kuna vimelea vya maradhi mengi ambayo yanaweza kumdhuru yeye na hata binadamu wanapotumia asali.
 
Kwa sababu hiyo, wanasayansi wanasema hata nyuki yupo kwenye mazingira ya kusambaza maradhi ingawa asali yake imekuwa ikitumiwa na binadamu tangu maelfu ya miaka iliyopita.
 
Kulikuwa na mawazo kwamba huenda nyuki ana namna yake ya kuchukua vitu katika maeneo anayopita ili asibebe bakteria, fangasi au virusi ambao ni hatari kutokana na kuwa ni chanzo cha maradhi.
 
Walipomchunguza wakaona kuwa nyuki wala hana namna ya ajabu anayofanya. Waliona anaingia kwenye maua hata yale ambayo yana bakteria au virusi hatari, akabeba ungaunga na umajimaji ulio na sukari kwenye maua na kuondoka nao.
 
Back
Top Bottom