Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeee !!!
909255a9429a9e9bc8b161cae159a9e4.jpg
Anapima kina cha maji ama?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu wangu, pole sana. Huku ni mbaya zaidi,ni wiki ya tatu sasa tangu hali ibadilike.
Tumuachie Mungu ila tuendelee kuwaombea Bwana akawatendee vile atakavyoona inafaa.
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo
Aiseh!poleni shemeji.
Maisha yana mitihani yake na hili ni moja kati ya hayo.
Mungu yuko na miujiza hitokea kila siku,cha muhimu ni kutokata tamaa na kuendelea kuomba mana yeye si kiziwi anasikia na kujibu.
Tumtegemee yeye na aendelee kuwapigania[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom