Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Hahahahaa yaan jtano lukaku afunge magoli ya kutosha awanyamazishe hawa watu
Hahahahaa yaan jtano lukaku afunge magoli ya kutosha awanyamazishe hawa watu
Amen[emoji120] [emoji120]Aiseh!poleni shemeji.
Maisha yana mitihani yake na hili ni moja kati ya hayo.
Mungu yuko na miujiza hitokea kila siku,cha muhimu ni kutokata tamaa na kuendelea kuomba mana yeye si kiziwi anasikia na kujibu.
Tumtegemee yeye na aendelee kuwapigania[emoji120][emoji120]
Hapana lukaku yupo vizuri ila tangu aje ibra ,lukaku kaondolewa nafasi aliyoizoea so kahamia upande ambao anacheza kwa kugawia wenzie mpira cheki zile assist alizotoa kimakosa,mech nying anatoa sana assist kwa wenzieNumbisa, unajua nini? Lukaku ana mpira wa kuvizia, anategemea kuwa anatengenezewa pande games nyingi! [emoji1][emoji1]
Jaman hahahaaa
Agent wa Lukaku huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jaman hahahaaa