Kote umeenda vizuri,ila hapa kutokunywa ndio pagumu.o Kutokunywa pombe kabla ya kulala.
Amen. Kama binadamu hatuna la kufanya bali kuomba tu ndugu yangu. Tumshukuru Mungu daima !!!Mungu wangu, pole sana. Huku ni mbaya zaidi,ni wiki ya tatu sasa tangu hali ibadilike.
Tumuachie Mungu ila tuendelee kuwaombea Bwana akawatendee vile atakavyoona inafaa.
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo
Numbisa njoo huku wanamtania Lukaku wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akikazana na Mungu Akiendelea kumbariki bila shaka naye zamu yake itafika !!!Samata lini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Charles Darwin aione hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Inawezekana. Umakini unahitajika kwa sababu makosa mengine yanagharimu sana mf. Makosa ya vile vitabu vya Kiingereza shule za misingi vimechapwa kwa gharama kubwa kutosha nchi nzima halafu picha ya twiga lakini imeandikwa This is a flower.Utakuta mtu alie print ndie aliekosea hapo