Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Njema habari yako mkuuZa jioni
Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu hapa ni poa tuNipo kamanda. Mbali na pweza, ngisi, mahindi yaliyoungwa na maembe yenye pilipili, mnatunyima nini huko pwani?
Maisha ni safari. Kutoka watch man, mwanamuziki mpaka mh Mbunge. Twakushukuru mwenyezi mungu kutuongoza kwenye njia zako zilizo njema