Job Ndugai kisha kuzifikisha kwa Rais Magufuli vigogo kadhaa waliotuhumiwa walienguliwa.
Waliong’oka katika kashfa hiyo ni aliyekuwa Waziri Ofisi ya Rais (Tamisemi), George Simbachawene, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Edwin Ngonyani na Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Eliakimu Maswi.