AMUN RA![]()
Tofauti za dini zetu zimetukuta... 'Tupendane'
Habari ya jumamosi wapendwa wa humu[emoji120] [emoji120]
Safi mzee wa liverMkuu habari yako
Hi jakitoo ya buyenze
Pamoja mkuuSafi mzee wa liver
Mkuu habari za masiku tele
Kwema mkuu nasubiri xmass kwa hamuSafi kabisa ndugu yangu, vipi kwema huko?
Shimba mutu ya jakitoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hi jakitoo ya buyenze
Mmh mkubwa huyu mpaka anatafsiri bamiaNaona mwazungushana tu na andaeitini
Habari ndiyo hiyo, lakini kwema mkuuHaiwezekani masaa zaidi ya matatu yapite pasiwemo na mtu humu