Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shemeji umenikumbusha mbali sana acha tu,mwisho wa siku tumshukuru Mungu kwa yote[emoji120][emoji120][emoji120]

Ila ukiweza kumfariji mtu haijalishi kama ni kupoteza mpendwa wake ama magumu yoyote anayopitia fanya hivyo,faraja utakayompa inamaana kubwa sana kwake.
 
Mazoezi ya viungo ni muhimu sana kwa afya yako, kuna namna mbalimbali za kufanya mazoezi. Unaweza kufanya mazoezi ya viungo fulani vya mwili wako kama miguu, mikono, mgongo nakadhalika.
 
Lakini pia kuna mazoezi ambayo ukifanya utakuwa umefanya zoezi lilojumuisha kiungo zaidi ya kimoja mfano mazoezi ya kukimbia, kuruka kamba na mengineyo. Licha ya kuwa unaweza kutumia muda kidogo kufanya mazoezi kwa takribani dakika (30-45) kwa siku iwe asubuhi au jioni lakini pia unaweza kupata faida nyingi za kiafya kwa kufanya mazoezi hayo.
 
Mie mwenyewe sina application ya insta mwaka sasa ila google inanipa kila ubuyu. Mmama mmoja hivi anajiita mama ntilie wa kishua alikuaga na mashauz tele,sasa wambea wanafurahia mume kaoa mke mdogo bibi kakosa pozi
Hahaa!wabongo sijui tukoje mana tunapenda kusherehekea matatizo ya wenzetu,wataanza kupigana vijembe sasa hivi[emoji23]yatakuwa yale ya leila yusuph na marehem chiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…