myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
hahahaaa...Yaan anaboa, sijui anafanya siri gani. Mie hapa hadi hamu ya kutukana itaisha.
Mzee wa forex yuko busy anatongoza hela za forex huko[emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa mzee wa forex hanaga hizo mambo
[emoji23][emoji23][emoji23]leo tumenyooshwa acha tuYaan kbs hata hakukuwa na haja ya kuleta uzi huu. Mamtu mengine sijui yakoje arrrghhhh.
Hapo ndo pana changamoto kwakweliKuna mmoja anapendwa sana na wadada (ila humu wapo wengi wanapendwa na wadada)hapo ndo ugumu wa kufungua code ulipo
Mama weeee yaan mm hilo wala huna haja ya kusema,.somo nikishalipata. Kwani lile tahira nililijuaje hadi na id zake mbili.[emoji23][emoji23][emoji23]leo tumenyooshwa acha tu
Ila on a serious note;humu ndani ni kuwa makini tu mana si kila king'aacho ni dhahabu na siku zoye za kuambiwa changanya na zako.
Kwa kiasi fulani mtoa mada nimemuelewa,humu ndani si kila mtu ni mzuri ama mbaya kikubwa ni kumsoma mwenzio uliyekutana naye sio unaamua tu leo mmekutana kesho una mpa gigy money aka konokono,mara paap mnaoana mwisho wa siku ndo majanga kama haya...
Kabisa sio kila parachichi la kutengenezea juisi,mengine ya kuweka steming kichwan,kusugulia kasura kawe mororo. Yaan hapa ni akili za kuambiwa changanya na zako[emoji23][emoji23][emoji23]leo tumenyooshwa acha tu
Ila on a serious note;humu ndani ni kuwa makini tu mana si kila king'aacho ni dhahabu na siku zoye za kuambiwa changanya na zako.
Kwa kiasi fulani mtoa mada nimemuelewa,humu ndani si kila mtu ni mzuri ama mbaya kikubwa ni kumsoma mwenzio uliyekutana naye sio unaamua tu leo mmekutana kesho una mpa gigy money aka konokono,mara paap mnaoana mwisho wa siku ndo majanga kama haya...
Ndio hivyo.Kabisa sio kila parachichi la kutengenezea juisi,mengine ya kuweka steming kichwan,kusugulia kasura kawe mororo. Yaan hapa ni akili za kuambiwa changanya na zako
Na akija humu busy kusalimia mikoa yote ya tz asubuh na kuaga jionMzee wa forex yuko busy anatongoza hela za forex huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaa nakubaliana na weweKabisa sio kila parachichi la kutengenezea juisi,mengine ya kuweka steming kichwan,kusugulia kasura kawe mororo. Yaan hapa ni akili za kuambiwa changanya na zako
Sana limetunyima uhondoLimeniboa balaa
[emoji23][emoji23][emoji23]taahiraMama weeee yaan mm hilo wala huna haja ya kusema,.somo nikishalipata. Kwani lile tahira nililijuaje hadi na id zake mbili.
Humu ni pa kuja ku buy time tu na kurefresh mind.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woooooiiiiiNajuta kupoteza muda wangu kufuatilia ule uzi.
Hahahaha acha kbs, watu wamelizwa humu. Hlf usikute ndio yy[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]taahira
Acha kunichekesha bhana
Sema bado namsubiri huyo mwenye ID 3 ndo namtaka
HahahahSana limetunyima uhondo
Cha muhimu ni kujifunza kutokana na pale ulipokosea.Hahahaha acha kbs, watu wamelizwa humu. Hlf usikute ndio yy[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji137] [emoji137] [emoji137] Nipo hukuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenituma nishuhudie,milango sio ya matete kama nyumba za Rufiji... Code za kufungulia zimetupwa bahariniandjul hebu kuja huku kwanza kuna mtu anatafutwa isijekuwa ni wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] mzee wa liverHahahhaha haki kbs, ila kwani yy anaishi mji mkuu?
Acha kabisa yaani leo hadi kichwa kinauma aiseeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji137] [emoji137] [emoji137] Nipo hukuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenituma nishuhudie,milango sio ya matete kama nyumba za Rufiji... Code za kufungulia zimetupwa baharini
Yuko busy ana download hela bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] mzee wa liver