[emoji120] [emoji120] [emoji120] Tumshuku Mungu umerudiWakuu mnaendeleaje? Likes zinaendeleaje?
Tulikuwa tunakula honeymoon na Jakitoo. Tumeanza kurudi sasa...Mmmh ukatususa hata salam jaman na jakito nae akakufata
Hata sijui alipata wapi akili ya kujenga hivyo. Nyoka ndio adui wake mkubwa,lakini kadri nyoka anavyo sogelea kiota ndio hatari yake ya kudondoka inaongezeka.
Na iwe hivyo ndugu yangu!!!Amina[emoji120] [emoji120]
Tusimame kwenye imani tu,mengi yatakuja na mwisho wa siku yatapita.Shikilia sana unacho amini kuwa ni faraja yako
Asante binti mwema. Nitakusemesha. Bado Nipo nipo tu !!![emoji120] [emoji120] [emoji120] Tumshuku Mungu umerudi
Welkamu baki dadii
Honeynoon mbona hatujaalikana harusini uwiiii pilau limenipita hivi hiviTulikuwa tunakula honeymoon na Jakitoo. Tumeanza kurudi sasa...
Tulipita Mwanza tukakukumbuka!!!
Umesha anza[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] ila sio wa huku hyooo
Hii comment nimeiba baadhi ngoja nikaanzishe thread huko photosHata sijui alipata wapi akili ya kujenga hivyo. Nyoka ndio adui wake mkubwa,lakini kadri nyoka anavyo sogelea kiota ndio hatari yake ya kudondoka inaongezeka.
Siku ya siku mayai/vifaranga vya ndege vinabaki salama.
Nimeyakumbuka maisha ya zamani ya kuwinda "vinjuni" kwa manati na mtego wa ulimbo
Hahahhaaa unamkana ila jina linakushangaa hahaUmesha anza[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] ila sio wa huku hyooo
Hatukuwa na/hatuna uwezo wa kualika watu. Niko Mwanza wiki kesho. Labda ukimbie JF. Vinginevyo nitakudabua tu!!!Honeynoon mbona hatujaalikana harusini uwiiii pilau limenipita hivi hivi
Acha hizo bhanaNumbisa, watu wana wowana humu eeh? Ndoa/mapenzi popote lakini, akili yako tu! [emoji23][emoji23]
Jamanii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii comment nimeiba baadhi ngoja nikaanzishe thread huko photos
Tena hawa wa mamtoni ndo me nawataka,si wanatuma tiketi za ndege eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Totoz zipo za kumwaga hasa zikifahamu kuwa papaaa yego anaishi mamton aiseee ukikohoa tu unaambiwa pole honey,ukipaliwa kinalaumiwa chakula kwa kukukaba
Gwantwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani hii mitandao inatuponya magonjwa mengi sanaHahahhaaa unamkana ila jina linakushangaa haha