Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaaa!hivi lile kundi la wadada limekimbilia wapi?kulikuwa na kakundi humu wakianza kushambulia wanaitana yaani unakoma na roho yako[emoji23][emoji23]jf raha sana
Hahahhaa kalisambaratika nadhan watu wasiojulikana walikasomba na mafuriko makubwa. Kakikund ka kusema yes hata kama ni pumba wao wanakubali tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…