carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Sema unajua kuoanikisha watu[emoji23][emoji23]Yaan ndo imekua kama ajira yangu kutoa povu hahahaha
Unitag hukoNajipanga kuanzisha uzi wa jins ya kuzipata hizi GIF.
Be free chukua zootee
Na mapovu wanayatoa haswa aiseeeeSema unajua kuoanikisha watu[emoji23][emoji23]
Wewe tena nakuweka kiti cha mbele kabisaUnitag huko
Utakosa bahati mana niko mjini ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kuongea na mimi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeona janaNa mapovu wanayatoa haswa aiseeee
Na alianza kiutani utani tu.For real aliuchangamsha uzi ingawa mtu mwenyewe ulie anzishiwa uzi "chenga" (kama alivyoitwa emmy kule ukatetewa wewe) hauchelewi kubadilikaHahahah na ana kipaji cha cole hadi shimba akatoa mkwara cole akapunguza lyrics zake
Hahahaaa shemeji hayo siyawezi. Watu wanatukana utadhani wapo usingizini wanaotaUtakosa bahati mana niko mjini ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Kubali nikuanzishie uzi basi[emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya bhanaHahahaaa shemeji hayo siyawezi. Watu wanatukana utadhani wapo usingizini wanaota
Yegomasika hebu amka uje huku bhana[emoji1][emoji1]
Hahahaaa shemeji hayo siyawezi. Watu wanatukana utadhani wapo usingizini wanaota
Man city inacheza leo? Lasivyo haamki saa hiziYegomasika hebu amka uje huku bhana[emoji1][emoji1]