Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sema siku zote sidechicks hazijui kula na kipofu,mwacheni ulimwengu umfunze na viboko
 
Hawa ndo wapiga kura sasa kwa style hii wapinzan wana kazi sana kuwaelimisha hawa watu.maana watu wenyewe ni bendera fata upepo,leo wakisikia kwa mtu hiki wanaamin kesho akija mwingine kasema hiki wanamkana wa mwanzo na kumwamini wa wakati huo.
Wengi wanaakili za kushikiwa,iyetuloga alikosea sana yani hii dozi aliyotupa ni kubwa mnoo
 
Sasa afanye ya maana sio hayo mashindano ya kipuuzi
Ujinga ni kwamba hawezi acha hayo mambo,mtu mwenye akili huwezi shindana na mtu mwenye hela anayejua kesho ya mwanaye hata kama wanasema zile mali ni za watoto wake.Yeye angeangalia ustaarabu wa mtoto/watoto wake basi.
Mwache aendelee kujianika sisi tuendelee kula ubuyu
 
Kabisa Numbisa wakati mwingine naisikitikia sana nchi yetu.
Maisha ya matukio,watanzania tumekosa uwezo wa kuwa na mpango wa maisha wa muda mfupi na wa muda mrefu.Tunaishi kiuana harakati.
Maisha yetu yapo kimipasho zaidi kuliko maisha ya utafutaji,ndio maana aliye madarakani anaweza kuongea chochote na akaamua chochote dhidi ya raia na raia watashangilia sana kwa wakati huo,baada ya muda kidogo kupita raia hao hao wanaanza kulalama.

Sijui ni nani atakuja kutuonyesha njia.
 
Na kweli acha aendelee kutufurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…