Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna uzi huko una maudhui ya ile sentensi yako nkaona ile ligi unataka kuileta huku.maana huko wanatukanana na kukashfiana tu.

Shukran kwa kuelewa. Uwe na siku njema
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] pole mkuu, Leo ni siku ya amani. Sikudhani kama nitakupa makwazo kwa sentes hiyo. Samahani mkuu kwa siku hui muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…