Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Nawatakia kheri ya Christmas na mwaka mpya.
Nawapenda wote!
Eti chalii we binti wewe lakini basi TuSijui hata kapotelea wapi huyu chalii muda sana sijamuona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sitaki nikomenti,nimekuwa mvivu sana wa kunywa majiHuyu ndo mtoto wa "mr you know who" Na "bibi makinikia?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikanywe maji kwanza[emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji582]
Pesa unaniweka nyuma najaribu kukufatA mbele ya watu unanisukuma
Mkuu konge namuona anavyomwaga maniuz kwa njia ya picba
Mkuu BAK niajeShukrani sana Nsamaka heri ya Xmas na mwaka mpya uliojaa heri na baraka kwako pia.