Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kisha iwe inanikwa juwani kwa muda wa sio chini ya wiki mbili wala tatu, hadi mwezi na kuhakikisha ndimu yako imebadilika rangi ya kijani iliyokuwa na kuelekea manjano. na kukauka vizur baada siku hizo kupita achari itakuwa tayari na kuwa na muelekeo mzur..
 
Lakini sasa imekuwa ni adimu kupatikana kwani imekuwa si rahisi kupatikana kama zamani , , sokoni zimekuwa zikiuzwa kwa mafungu shillngi 500/= mpaka elfu 1000/= , imekuwa ni ngumu kidogo kwani hailipi kwa watu wanaouuza.
 
Pia achari hii ni zawadi nzuri kuwapa wageni wanaokuja kukutembelea.
Baada ya kunielezea aina zote hizo za achari bi Saada alinikumbusha uzoefu wake kuwa achari alizokuwa akitengeneza alikuwa akipeleka Arabuni kwa dada yake. alijisifu bibi huyo.
 
kwa hivi sasa sitengenezi kama vile zamani kwani imekuwa ni mali huko mjini alilalamika bibi huyo aliyezaliwa mwaka……. iliyopita
“ Wenye midimu yao hawazichumi ndimu mpaka zikapea na kuanguka zenyewe kwenye midumu”alisema, aliyesoma mpaka darasa la kumi na moja katika skuli ya KONDE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…