Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aidha alifahamisha kuwa kunamatatizo mengi yanayowakabili kama vile ukosefu wa vifaa vya kisasa vya kutengenezea Maploti kutokana na vifaa wanavotumia vinawafanya watumie nguvu nyingi kwani unawakuta sana wanawategea wanaume wafanye kazi kubwa.