Dah! wameponea chupuchupu .Washapigwa Mbili bila
Aaeeee mimi na man u tupendane mpaka siku ya mwisho hadi yego ashangae mama.
Hi yegooo
Ukiona Yego anakusabahi jua Man u kapigwaYaan kabla ya aftaimu tukala konzi mbili. Saiv sijui zitakua ngapi
Dah! Bahati yenu..
Loh... Asavali[emoji120] [emoji120]
Ukiona Yego anakusabahi jua Man u kapigwa
Dah! Bahati yenu..
Kwenye waungwana wewe haumo kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa, siyo kweli bhana! Mtu muungwana shurti kuwajulia hali wana likes! [emoji1][emoji1]
Dah! Bahati yenu..