Kwenye waungwana wewe haumo kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Madogo wameniuzi kweliDah! wameponea chupuchupu .
Hahaha hahahaHahaa... Mimi nilikuwa nakusabahi, wewe unaibuka na mambo ya MU. Kwani walikuwa wanacheza leo? Nauliza tu! [emoji23][emoji23]
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiona Yego anakusabahi jua Man u kapigwa
Walishakwenda kibraDah! Bahati yenu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa, siyo kweli bhana! Mtu muungwana shurti kuwajulia hali wana likes! [emoji1][emoji1]
21:0220:28
Mkuu si mchezo
Haja ya mja unena muungwana ni vitendoDaaa, Mkuu! Mimi ni mmoja kati ya waungwana wachache tuliobakia! [emoji1][emoji1]
Mkuu si mchezo
The blues