Pia tatizo la vyakula vya samaki huwa wanaweka pesa kwa ajili ya chakula lakini kuna kupanda bei kwa chakula humaliza pesa bado haujafika muda wa kuvua na huwabidi wachange pesa kutoka mifukoni mwao,hivyo huwafanya wasumbuke katika kutafuta chakula cha samaki na ufugaji kuzorota.