G
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jana nilipeleka viatu vyangu. Kwa fundi
Cha ajabu leo namkuta barabarani amezivaa
Kumuuliza fundi vipi tena mbona umevaa viatu vyangu,????
Akanijibu
“ROAD TEST”
Kitambo bro kwema?Sema bro.
Kwema ndugu yangu. Ni pilika pilika tu za hapa na pale. Tumshukuru Mungu !!!Kitambo bro kwema?
Kiongozi myoyambendi kwemasiku inakimbia kweli..
Jioni yangu njema nipo ukanda wa jioni mzee wa pwani napata juisi ya tende karibu sanaSawa kiongozi. Habari za jioni yako mkuu, ikiwa upo ukanda wa jioni
Popote ulipo tambua nakutafuta and it's urgent[emoji19][emoji19][emoji19]Kamanda yuko vizuri. Hata mapingili ya shingoni yameisha. Mungu Aendelee kumsaidia !!!
Its urgent i cant believe my eyesPopote ulipo tambua nakutafuta and it's urgent[emoji19][emoji19][emoji19]
Hebu nitafutie kaka yako kwanza[emoji38][emoji38][emoji38]Its urgent i cant believe my eyes