Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usafi ni silaha kwa Msichana
cc emmyta


Hahahahahahahaha huyu emmyta ni msafi kuliko usafi wenyewe. Yaani mashallahu! hataki hata doa mahali popote pale. Kuoga mara 4 kwa siku hapo ndiyo kaoga mara chache kwa siku hiyo LOL!

Mmh. Nyieeee.

Nawasalimia ila BAK ujue hizo ni zaidi ya sifa. Lol [emoji85] [emoji85] [emoji85]


[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom