mapinduzi daima
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,724
- 2,709
Kumekucha ChiefSikuongeza chumvi Mkuu ni ukweli mtupu. Hekima, busara, mapishi na usafi vyote kajaliwa huyu Dada yako Mkuu. Madada wa hivi siku hizi ni nadra sana kuwasikia.
Mwenyezi Mungu ni mkuu
Maombi kwa Nchi yangu na Rais wetu aongoze Nchi kwa HEKIMA na Busara ili Wananchi waishi kwa amani na kupata maendeleo
Kila mwenye pumzi na aseme
Ameeeeen