Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

24e35e9352489abed3d8bce78be8080d.jpg
 
Alphie Tiffie:
Nimeona vituko hii Christmas kweli ....
.
Mluiya moja amenunua 1kg ya nyama achomewe after kuiva akaweka ipimwe tena ikatoka 3/4.
.
Akauliza 1/4 imeenda wapi akajibiwa imeenda na moto .
.
Akauliza kumaanisha nikinunua 1/4 ichomwee sitapata hata kakitu .
.
Wadau huyu jamaa hajajibiwa mpaka sai
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom