Usafi ni silaha kwa Msichana
cc emmyta
Hahahahahahahaha huyu emmyta ni msafi kuliko usafi wenyewe. Yaani mashallahu! hataki hata doa mahali popote pale. Kuoga mara 4 kwa siku hapo ndiyo kaoga mara chache kwa siku hiyo LOL!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] haya ahsante.Sijaongeza chumvi lakini Emmy msafi, ni ukweli mtupu. Ni sifa ambazo unastahili wala usione aibu kwa kuwa msafi. 😛😛😛
[emoji2] [emoji2] [emoji2] haya ahsante.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kabisa Mkuu anajipenda sana kuanzia kwenye unyayo wake hadi utosini. Bila ya shaka ile kitu yake itakuwa tamu sana 🙂
Umempamba Dada yangu kwa maneno aisee[emoji3] [emoji3] [emoji3]