mapinduzi daima
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,724
- 2,709
Kumekucha ChiefSikuongeza chumvi Mkuu ni ukweli mtupu. Hekima, busara, mapishi na usafi vyote kajaliwa huyu Dada yako Mkuu. Madada wa hivi siku hizi ni nadra sana kuwasikia.
Guu la huyu mama jamani !!!
Mimi napigia tu jibu mstari mkuu wala usijaliSikuongeza chumvi Mkuu ni ukweli mtupu. Hekima, busara, mapishi na usafi vyote kajaliwa huyu Dada yako Mkuu. Madada wa hivi siku hizi ni nadra sana kuwasikia.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Karibu JF whea wi dea tu toko openili...[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Mkuu, kuna mtu kaiba password yako nini! [emoji23][emoji23][emoji23]
Guu la huyu mama jamani !!!
Alphie Tiffie:
Nimeona vituko hii Christmas kweli ....
.
Mluiya moja amenunua 1kg ya nyama achomewe after kuiva akaweka ipimwe tena ikatoka 3/4.
.
Akauliza 1/4 imeenda wapi akajibiwa imeenda na moto .
.
Akauliza kumaanisha nikinunua 1/4 ichomwee sitapata hata kakitu .
.
Wadau huyu jamaa hajajibiwa mpaka sai
Maslay Queens baada ya kuslay siku nzima !!!