Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bachelor hafai kupika samaki. Unaeza nyongwa na mfupa ukose mtu wa kukupiga ngumi kwa mgongo ukufe.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Sikuongeza chumvi Mkuu ni ukweli mtupu. Hekima, busara, mapishi na usafi vyote kajaliwa huyu Dada yako Mkuu. Madada wa hivi siku hizi ni nadra sana kuwasikia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alphie Tiffie:
Nimeona vituko hii Christmas kweli ....
.
Mluiya moja amenunua 1kg ya nyama achomewe after kuiva akaweka ipimwe tena ikatoka 3/4.
.
Akauliza 1/4 imeenda wapi akajibiwa imeenda na moto .
.
Akauliza kumaanisha nikinunua 1/4 ichomwee sitapata hata kakitu .
.
Wadau huyu jamaa hajajibiwa mpaka sai
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]