Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hata wasio na michepuko, 2018 ukawe na mibaraka kwao [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]wasio na wachumba wapate wachumba 2018
Hata wasio na michepuko, 2018 ukawe na mibaraka kwao [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]wasio na wachumba wapate wachumba 2018
Nafungwi sana sana atapewa muda wa kulipa deni tuHata nikimfungulia kesi ya madai?
kweli....Hata wasio na michepuko, 2018 ukawe na mibaraka kwao [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Mh!Hata wasio na michepuko, 2018 ukawe na mibaraka kwao [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeh
Mh!jirani[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]kweli....
namwombea na ji.jii..jir..jirannnni yaya yangu awe nnana baraaaka 2018
jirani hujambo..Mh!jirani[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
nawe pia..ubarikiwe sana.Nawatakieni kila la kheri Mwaka 2018
Mola azidi kuwabariki ninyi na wenu.
Cocochanel
Sijambo jirani habari ya wewejirani hujambo..
kwangu kwema jirani..siku hizi umeadimika sana..wewe na watu wa unguja tu jirani, kwao mchana kwetu usikuSijambo jirani habari ya wewe
Kama mtu anajua namdai anilipe mapema koz ile speed ntampeleka nayo January atatupa simcard
Nimekuhamu pia wiii, Fungate bado inaendelea tutakualika mwaka mpya tujumuike wote huku koromije[emoji4] ...Wii upo?nimekuham ujue?au ndo fungate halijesha?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hata wasio na michepuko, 2018 ukawe na mibaraka kwao [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Asante mkuu, ubarikiwe sana kwa nguvu za Allah. Yaliyokuwa mazito 2017 yawe mepesi 2018 kwako na kwetu pia. INSHAALLAHNawatakieni kila la kheri Mwaka 2018
Mola azidi kuwabariki ninyi na wenu.
Cocochanel
Dada mpenzi Asalaam AlyekumSijambo jirani habari ya wewe