Makubwa! Nyumbu wamepungua? Sababu ni nini?Kupungua kwa nyumbu ni ishara mbaya kiutalii kwa kuwa hao ndiyo wanabeba sifa ya Ikolojia nje ya nchi na wanachangia mapato makubwa kiutalii. Mbali na hao wanyama ni mapito ya ndege wanaohama kutoka Asia na Ulaya,” anasema.