Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mh! hiyo ya kupunguza tumbo nayo ni ngumu kama ni kupitia tummy operation maana unaweza kupungua kilo chungu nzima mpaka ukajichukia. Nenepa nenepa na wewe.

 
Ndiyo nasema kupunguza tumbo kama kwa operation husababisha kupoteza kilo chungu nzima hata mwenyewe ukajichukia na kutamani uongeze japo kilo chache tu lakini jitihada za kuongeza hizo kilo chache zisifanikiwe. Kupunguza tumbo inawezekana kabisa kwa mazoezi, mara tatu kwa wiki au zaidi hii ni bora zaidi.

Mi mnene mkuu. Sema unene wangu haunisumbui hata tumbo tu ndo linanipa mawazo.
 
Mazoezi kufanya ni issue. Na vyakula navyo ni jambo lingine. Litapungua tu kwa rehma za mwenyezi Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…