Nimeanza kunywa bia last year mkuu na kilikuwepo tuNdio maana nikakuambia huo ugeni wa bia huo,hahaha Windhoek hizo
[emoji114]Mungu atufikishe...2018
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Alamsiki!
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Usiku wa manane
Una mtoto? Km unaye ulijifungua kwa kisu?nasikiaga wanaojifungua kwa kisu huwa wanakua na matumboNimeanza kunywa bia last year mkuu na kilikuwepo tu
Ninae na nilijifungua kawaidaUna mtoto? Km unaye ulijifungua kwa kisu?nasikiaga wanaojifungua kwa kisu huwa wanakua na matumbo
Kama hana dhambi atakupima mkojo, huenda una UTI[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukitaka kuchafua hali ya hewa mwambie mtu *AKATUBU*
Hongera kwanza,heri ya mwaka mpya, usijari kitatoka,nunua hivyo vifaa ,wiki mbili unakua safiNinae na nilijifungua kawaida
Mkao gani huu[emoji3] [emoji3]
Asante mkuu. Vifaa gani hivyo??Hongera kwanza,heri ya mwaka mpya, usijari kitatoka,nunua hivyo vifaa ,wiki mbili unakua safi
Mkao gani huu[emoji3] [emoji3]
Mkao gani huu[emoji3] [emoji3]
Huwa wanapitisha wamachinga ,vya mazoezi ya kuondoa tumboAsante mkuu. Vifaa gani hivyo??
Nisaidie kudelete ile post umereply hiyo picha ifutike mkuu.Nimeona best,sio kikubwa sana
Nilishakuaga navyo nikagawa. Nitatafuta tenaHuwa wanapitisha wamachinga ,vya mazoezi ya kuondoa tumbo