Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwaka huu Mungu hataki ujinga. *Valentine's Day* (14/2/2018) ni *Jumatano ya Majivu*... Hakuna Dhambi za Uchafu...... Tarehe 1/4/2018 ambayo ni *Siku ya wajinga*... Ni *Pasaka.* Pia Mungu kakaza vyuma.[emoji23] [emoji23] [emoji137]



Cc Smart911
 
IMG_3009.jpg

[emoji1][emoji1]
 
hakuna kitu mbaya kama kuwekwa friendzone na crush na huna idea yoyote

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115]

amekam ghetoni, condom check[emoji736]kuoga check[emoji736],bed umetandika for the 1st time....unaenda kumkiss anakuuliza what r u doing.....like seriously[emoji35][emoji35][emoji35]????
 
Cha moto mtakiona kudadadeki. Huku Mwanza yaani rahaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

It’s cold like hell! [emoji23][emoji23][emoji23] Habari ya Koromije? Kipupwe cha mwaka huu mpaka huko Deep South hakukaliki vilevile, una bahati ulitimua mapema! [emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom