myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Iwe siku ya upendo kwa wana likes
Tutende mema kwa sababu wema hauozi. Tena tuwakumbuke waliotusaidia....Meneja wa Arsenal Arsene Wenger ameambia BBC kwamba amepokea mwaliko kutoka kwa rais mteule wa Liberia George Weah kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwake baadaye mwezi huu.
Wenger amesema: "Nimealikwa na George kwa siku hiyo ambapo ataapishwa kuwa Rais."
Meneja huyo wa Arsenal alikuwa meneja wa Weah katika klabu ya Monaco inayocheza Ligi Kuu ya Ufaransa miaka ya 1990 na amesema hakuwahi kufikiria kwamba wakati mmoja mchezaji huyo angekuwa rais.
Kweli tupu....1.Kama upo single, Anza kuwa mwema wewe badala ya kutafuta mpenzi ambaye ni bora kuliko mpenz wako wa zamani, mtu mwema huvutia watu wema pia