Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kula protini kwanza kunasaidia kuzuia mwili wako kutamani vyakula vya wanga. Na hivi ndio vyakula vinavyokufanya unenepe na kuongeza uzito kirahisi sana.
 
Kula protini kwanza kunasaidia kuzuia mwili wako kutamani vyakula vya wanga. Na hivi ndio vyakula vinavyokufanya unenepe na kuongeza uzito kirahisi sana.
 
Baadhi ya vyakula vitavyokupa protini ya kutosha asubuhi:
Kula mayai yasiyopungua mawili (mayai yana kiwango kikubwa cha protini)
 
Na kwa wale wanaoepuka vyakula na bidhaa zitokanazo na maziwa, nyama na mayai, kuna mimea yenye protini pia. Jamii yote ya mikunde, mboga mboga na mazao kama karanga, korosho na mazao yote ya mbegu mbegu yana kiwango kikubwa cha protini.
 
6. Sikiliza /Soma kitu kitakachokupa muamko wa kufanya jambo

Watu wa ‘kawaida’ wanatafuta cha kuwaburudisha, watu wasio wenye malengo wanatafuta cha kujifunza. Ni kawaida ya watu wenye mafanikio zaidi duniani kusoma angalau kitabu kimoja kwa wiki. Muda wote wanajifunza jambo.
 
Hata ukitumia dakika kati ya 15 na 30 kila asubuhi kusoma au kusikiliza kitu kitakachokufanya upate muamko au kujifunza jambo jipya, itakusaidia kukubadilisha kidogo kidogo na kukufanya uwe bora zaidi ya jana yako. Inakuweka kwenye nafasi ya kufanya kazi vizuri zaidi.
 
Ukidumu na tabia hii kwa muda mrefu, utajikuta umesoma mamia ya vitabu. Utakuwa na ufahamu japo kidogo kwenye maswala mengi yatakayofanya uione dunia na kufikiria kwa namna tofauti kabisa. Utakuwa na uwezo mkubwa zaidi na urahisi wa kuweza kuhusisha mambo mbalimbali kimaisha.
 
Fanya japo jambo moja tu katika malengo yako ya muda mrefu
Unapokuwa uananza na kazi nyepesi mwanzo wa siku (ambao ndio muda unaokuwa na nguvu zaidi na akili ikiwa na uwezo mkubwa zaidi wa kuzingatia), utajikuta katika muda ambao umeshayamaliza mambo haya na unataka kuanza kufanya mambo magumu, akili inakuwa ishachoka, bila shaka na mwili pia. hii itafanya ulisogeze mbele jambo ambalo uliliweka kiporo toka jana kwamba ungeifanya leo.
 
Kaulimbiu yako inakuwa: mambo magumu zaidi nayafanya mwanzo wa siku. Fanya mambo uliyotamani kuyafanya siku zote, japo kidogo kidogo kwa kuanzia. Kama ukiwa unapiga hatua moja tu kuelekea kwenye malengo yako ya muda mrefu, utakuja kugundua kwamba malengo hayo hayakuwa mbali kabisa.
 
[emoji297][emoji297][emoji253][emoji253][emoji297][emoji297][emoji253][emoji253][emoji297][emoji297]
*START WITH YOUR THOUGHT*

What you daily accommodate in your mind is what you eventually become .

Regularly have positive, confident, caring and respectful thoughts.

Have the best possible thoughts about any situation and you'll attract the best possible outcome.

It may not be easy but you'll have to change the thoughts that you have if you must accomplish your goals.

As you change your thoughts you begin to see a new you .

You start seeing possibilities in impossibilities, and confronting the mountain of difficulties is so easy because your mind has been positively charged. *BE WISE*

*HAPPY WEEKEND TO YOU[emoji112]*
 
Back
Top Bottom