andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Itabidi niwe na kula vibichi ili nguvu ziongezeke haraka8. Kitunguu maji kikipikwa na kuliwa pamoja na samli , husaidia kuongeza nguvu za kiume pamoja na kuboresha nguvu za kiume.
Sasa mbona.....sisi tu....9. Kitunguu kikitengenezwa supu pamoja na nyama, huongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake.
Jamaniii