Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Unapata ninja ako single na analala bila nguo. Sasa si akipata joto ya dem si atatoa adi ngozi ya mwili[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wanandoa wote (mme na mke) au mmoja ndio iwe hivyo?A Marriage without a sidechick Is like a
government without an opposition party.
Let us not be dictators In our marriages, allow democracy
Ingependeza na itapendeza zaidi ikiwa kwa wote ili maumivu yawe sawa kila mtu ayasikie vilivyo.Ni wanandoa wote (mme na mke) au mmoja ndio iwe hivyo?
Tunakoelekea tutang'oana vifundo vya magoti,nitoke huko nimejibebea parachichi langu huku sitiress zinaninyuka,nifike nyumbani nikute konokono hayupo[emoji15] [emoji15] [emoji16] [emoji16] [emoji37] [emoji36] [emoji51] [emoji56] kaenda kuvua gamba kwa nani sijui....
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Rip Yona Maro
Weeee...mechi za ugenini ni za hovyo sana, mijitu inacheza hovyo hadi konokono anashindwa kurudi kwenye hema lake kwa maumivu (ingawa ndio furaha yake kurushwa hovyo na gumfimbo) ya siku hiyoIngependeza na itapendeza zaidi ikiwa kwa wote ili maumivu yawe sawa kila mtu ayasikie vilivyo.
Halafu unajiua vipi sababu ya konokono?
Konokono anauma wewe! Halafu ukute ni wale adimu wanaopatikana katika mikondo bahari ya maji joto - wanene wameumuka wametuna watelezeshi wanang'araaa! Yonas Maro simshangai [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Ingependeza na itapendeza zaidi ikiwa kwa wote ili maumivu yawe sawa kila mtu ayasikie vilivyo.
Halafu unajiua vipi sababu ya konokono?
Sema braza. Haya mambo yasikie kwa mwenzako tu...Konokono anauma wewe! Halafu ukute ni wale adimu wanaopatikana katika mikondo bahari ya maji joto - wanene wameumuka wametuna watelezeshi wanang'araaa! Yonas Maro simshangai [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Kwema mkuu. Mungu ni mwema !!!Sema braza. Haya mambo yasikie kwa mwenzako tu...
Mkuu kwema?
Jambo la kheri kusikia hivyoKwema mkuu. Mungu ni mwema !!!