Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wana ‘ndoto za mchana’
Walimu wengi wamejikuta wakiingia kwenye historia mbaya za wanafunzi wenye ubunifu wa hali ya juu kwa kuwaambia kwamba hayo wanayoyawaza ni ‘ndoto za mchana’ (kuwaza mambo ambayo kwa wengi yanaonekana hayawezekani kufanywa) ni kujipotezea muda.