Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi karibuni watafiti walibaini kwamba matatizo makubwa yanaweza kuwasaidia watu waweze kuwa bora zaidi kwenye mahusiano na watu wengine, imani kwa Mungu, kuthamini maisha zaidi, kuwa watu tofauti kabisa, na muhimu zaidi — kuwa wabunifu — kuweza kuona fursa mpya za kimaisha unapobanwa na matatizo.
 
Wanageuza vikwazo wanavyokumbana navyo kuwa fursa
Watu wengi wenye mafanikio makubwa wamewahi kusema kuwa mafanikio yao yametokana na kuweza kuendelea wakiwa wamekumbana na maumivu na kukatishwa tamaa na wengi wanaowazunguka — na kwamba wametumia changamoto hizi kama sababu ya kutaka kufanikisha shughuli zao ili kuwaonesha waliowapinga kwamba hawakuwa sahihi au hawakuwa wakiona alichokuwa akikiona yeye.
 
Watu wengi wanaweza kutumia changamoto walizokumbana nazo kuwawezesha kuja na njia mbadala ya kuzitatua. Mambo yaliyowahi kuwatokea maishani na kuwafanya waache kuiona dunia kama walivyokuwa wanaiona awali – kuwa ni sehemu salama sana au kila unachokitaka kinaweza kujileta kumesababisha waiangalie dunia kwa upeo mwingine kabisa wa kibunifu.
 
Wanatafuta uzoefu mpya
Wabunifu wengi wanapenda kujiweka kwenye mazingira mapya mara kwa mara, kuanza kufurahia starehe mpya au kuanzisha uhusiano mpya — na tabia hii ya kujiweka wazi kwa mabadiliko ni muhimu sana kwa kazi za ubunifu.
 
Wanafanya shughuli wanazopenda
Wabunifu wengi huwa wanahamasika wao wenyewe kufanya kazi zao bila kusukumwa na mtu mwingine — ikimaanisha kwamba hamasa au msukumo huu wanaoupata unatokea ndani mwao,
 
Hi mwana jf karibu katika group la mambo ya siasa na mstakabali wa nchi yetu. Group hili ni la app inaitwa telegram, hivyo kabla ya kubonyeza link, download app ya telegram ambayo inapatikana playstore. Kama huna app fuata hii link kudownload. Telegram APK Download for Android.
Baada ya kuinstalll join hapa ka kufuata hii link. TUONGEE SIASA.
Jukwaa jingine la siasa ama?
 
Back
Top Bottom