Watu wengi tunapenda matunda Fulani kwa ladha yake tuu bila kutaka kupata faida, katika mwili ikiwa faida ya baadhi ya matunda ni pamoja na radha yamatunda mabalimbali.
1. Tango ni chanzo kizuri cha vitamin B.2. Tango huupa mwili na vitamin. Asilimia 95 ya tango ni maji hivyo huupa mwili maji na kuusaidia kuondoa sumu mwilini kwani pia lina vitamin karibu zote ambazo mwili huhitaji kila siku.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.