Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nadhani tutakuwa tumeelimika kwa kufahamu umhimu wa tunda aina ya tango ikiwa tunda hili halivutii kula kwa kuwa halina radha nzuri sana pia halina harufu inayosikia kuwa hili ni Tango kwa kukazia tango lina asilimia kubwa ya maji.
 
Screenshot_2018-01-16-13-22-30.png
 
Feni husaidia kupunguza kiwango cha joto katika chumba kwa kuongeza kasi ya mzunguko wa hewa katika chumba husika.
 
Kumekuwa na mijadala mbalimbali inayofanywa na wataalamu wa afya na hata watu wengine kuhusu madhara ya kulala na feni katika afya ya binadamu. Je ina hasara au faida gani kuitumia?
 
Wapo wengine waliodiriki kusema kuwa kulala na feni kunaweza kusababisha kifo cha ghafla kwa muhusika.
 
Feni kama vifaa vingine, itatumika ipasavyo basi inaweza kuwa na faida kwa binadamu lakini pia inaweza kuwa na madhara kwa baadhi ya watu.
 
Back
Top Bottom