Upungufu wa maji mwilini.
Hakuna hisia nzuri kama ile ya kupepewa na feni wakati wa usiku wenye jito kali. Usingizi huwa murua kwa vile hali ya joto imeshapunguzwa na feni.
Lakini joto la chumba chako linapozidi 35°C hewa inayopulizwa na feni huwa ni ya moto kuliko joto la ngozi yako na hivyo hukupelekea kutokwa na jasho jingi.
Lakini joto la chumba chako linapozidi 35°C hewa inayopulizwa na feni huwa ni ya moto kuliko joto la ngozi yako na hivyo hukupelekea kutokwa na jasho jingi.
Kulala ukiwa unatokwa na jasho mara nyingi hupelekea kupungua kwa maji mwilini kwa kuwa wengi hatuna utamaduni wa kuamka usiku na kunywa maji ili kurudisha yale yaliyopotea.
Inaweza kuwaletea matatizo watu wenye Pumu (Asthma)
Hii hutokea kama huwa huna tabia ya kuisafisha feni yako. Ni kweli wengi wetu hatuna tabia ya kusafisha feni zetu.
Maumivu ya shingo
Unapolala hali ya hewa ya chumba chako inakuwa ya joto. Hali ambayo inaweza kukufanya usilale vizuri. lakini feni inapokupuiza hupooza hewa na kukupa usingizi mzuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.