Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-01-16-13-16-34.png
 
Feni inaweza kutoamsaada wa kuppoza hali ya joto ya chumba chako na kukifanya kiwe na mzunguko wa hewa safi hivyo kukupa usingizi murua.
 
Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa watu engi hupenda kulala katika vyumba vyenye sauti murua kama vile sauti ya muziki laini, sauti ya mvua au hata sauti ya feni.
 
David N. Neubauer, profesa katika Chuo Kikuu cha Udaktari cha Johns Hopkins ameeleza kuwa anapenda kulala akiwa ameiwasha feni yake.
 
Hata kama hakuna joto, nitaiwasha feni yangu. Nikilala bila kuiwasha feni huwa napata wakati mgumu kuutafuta usingizi” alisema.
 
Ni vigezo gani huja kwanza akilini pindi unapofanya uchaguzi wa hoteli hiyo? Ni maswali magumu ambayo mtu wa kawaida hawezi kuyajibu labda awe anajihusisha au kufanya kazi kwenye sekta ya hoteli au mtu anayesafiri mara kwa mara.
 
Mara nyingi linapokuja suala la kuchagua hoteli ya kwenda miongoni mwa vitu vinavyopewa kipaumbele ni pamoja na kiwango cha huduma za hoteli husika, miundombinu, vyumba, mahali ilipo na gharama.
 
Suala la kuzipa hoteli hadhi ya nyota fulani limekuwa likizua mijadala kwenye nchi tofauti kutokana na changamoto ya vigezo vinavyotumika kufanikisha zoezi hilo kutofautiana kutoka sehemu moja kwenda nyingine
 
Back
Top Bottom