Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utengenezaji wa sabuni hii una njia nyingi

Hatua ya kwanza
Chemsha vipimo 7 vya mafuta ya mawese au mafuta ya shea hadi ifikie hatua ya kimiminika chuja na yaweke kwenye chungu cha mfinyanzi au chombo cha plastiki.
 
Hatua ya pili
Pima vipimo 5 vya maji baridi kwenye chombo cha plastiki ongeza kipimo 1cha sodium hydroxide kwa uangalifu mkubwa kwenye maji acha hadi mchanganyiko huo uyeyuke.

Subiri mchanganyiko wa sodium hydroxide na mafuta ukaribie kupoa.
 
Kabla sabuni haijawa ngumu mwaga sabuni ndani ya kasha la mbao lilotangulizwa karatasi nyembamba la plastiki subiri saa 3 na sawazisha sabuni kwa rula au kitu kingine kilicho nyooka huku ukigandamiza juu, ipanguse iwe laini kwa kutumia kitamba kilicho lowanishwa.
 
3eb7b39162a4945d7565d64a91c5dbcc.jpg
 
Jiji la Dar es Salaam husifika kwa kuwa joto kali hususani katika kipindi cha kiangazi cha mwaka. Ni katika kipindi hicho ambapo katika maeneo ya jiji ambako nyumba zimesongamana kutokana na ukosefu wa mipango miji, watu huamua kulala nje ya nyumba zao ili kupata upepo.
 
Aidha, utafiti huo umebaini kuwa kundi linaloongoza kulala nje ni wanaume na watoto wa kiume. Jumanne Athuman, mkazi wa Manzese, alisema kutokana na kuwapo kwa joto kali wakazi wa eneo hilo hulala nje ya nyumba zao nyakati za usiku.
 
Labda wakazi wa maeneo mengine unaweza kushangaa, lakini sisi huku Manzese tumeshazoea kulala nje kwa ajili ya kupata hewa badala ya kulala ndani ambako kunakuwa na hali mbaya nyakati za usiku,” alisema Athuman.
 
Hata kama wezi wapo tunalazimika kulala hivyo hivyo na tunashirikiana kulindana majirani wote kwa sababu siyo mtu mmoja mmoja anayelala nje. “Unaweza kukuta watu wengi, zaidi ya 20, tunalala eneo moja nje ya nyumba tunazoishi.”
 
Back
Top Bottom