Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Naye Jesca Sangeri, mkazi wa Magomeni Mapipa alisema wapo watu wanaolala nje kwa ajili ya kuepuka joto la ndani hasa nyakati za usiku. SiSi wengi kwa sababu mitaa ninayokaa mimi nyumba hazijabanana sana lakini yapo maeneo mengine wanalala watu wengi,” alisema.