Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni bora uzungumzie mradi ambao ulileta mafanikio kwa kampuni ambao labda ulikuwa ukifanya kazi kwa muda mrefu zaidi ya mara moja kuhakikisha mambo yakamilike kabla ya muda mliopangiwa na kwa kiwango cha juu, au kwamba kama ulijitolea kumalizia kazi ambayo haikumalizwa na mwenzako. Mfano wowote utakaotaka kuutumia, hakikisha maelezo yako yaoneshe utayari wako wa kufanya kazi na kusaidia wenzio kazini.
 
5. Tueleze ilikuwaje ulipotofautiana na bosi wako
Kwa mara nyingine, kujibu swali kama hili, kutupa lawama au kuwasema watu wengine si jambo zuri kulifanya. Itafanya udharauliwe mapema sana kwakuwa yawezekana ukawa unamsema vibaya bosi wako kwa mtu ambaye anajuana naye.
 
Hili ni la kuchunga hasa unapofanyiwa usaili wa kazi inayofanana na ile unayofanya sasa: dunia ni ndogo sana. Mtu unayemsimulia yawezekana anasali kanisa moja, au anajuana na mtu anayehusiana na bosi wako. Badala yake, weka msisitizo kwenye kueleza ni jinsi gani kutofautiana na bosi wako kulifanya uongeze juhudi kazini badala ya kuacha hasira zikutawale.
 
Kimsingi, unatakiwa uweke wazi kwamba wewe na bosi wako mnaheshimiana na mna uhusiano wa karibu. Unatakiwa kuonesha kwamba unamhurumia bosi wako … na unaamini katika kuitekeleza na kuitimiza dira ya kampuni.
 
6. Una uzoefu gani kwenye uongozi?
Usishawishike kutaja kila nafasi ya uongozi uliyowahi kushika — badala yake, fikiria chache zilizokuwa na matokeo makubwa zaidi. Wengi watajikuta wakiorodhesha kila nafasi ya uongozi aliyowahi kushika, lakini inabidi ujue mapema kwamba uongozi unapimwa kwa mafanikio yaliyopatikana.
 
Kwenye uongozi wako, watu wanatakiwa kuwa wamepata uzoefu zaidi au mafanikio zaidi kazini tofauti na walivyokuwa kabla hujaanza kuwaongoza.
 
44ec57e9395085dc432340a8084351d6.jpg
Tena nauli ya ndege [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa anachoma mihogo pale muhimbili mida ya jioni utankuta karibu na geti LA kuingilia, Jioni moja nikamkuta anakojoa kwenye chupa ya maji , huku mikono ikiwa inalowa kwa mikojo yake kutokana na mkojo kushindwa kuingia kwenye chupa, baada ya kukojoa akaweka mkoio chini ya toroli lake na kuendelea kugeuza mihogo kwa mikono yenye mkojo.

Kuna vitu ukichunguza sana hapa mjini utakufa njaa, maana kila kitu utaona ni uchafu.
 
Back
Top Bottom