ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
[emoji39] [emoji39]
Huu uwanja unafaa sana kwa michezo aina zote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzeeHivi nauli kiasi gani kutoka hapa kwenda Mwakaleli?
Nahitaji kwenda kuona mashamba huko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya MunguTena ndizi Mwakaleli zimekubali kweli kweli !!!
Nakutakia heri ya mwaka mpya![emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]
Inachekesha aseee [emoji23]
Mzee nitaomba lifti kwenye roli baada ya kushusha matunda.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee
Na kwako pia MchinaNakutakia heri ya mwaka mpya!
Leo tarehe ngapi kweli?
Eeeeeee?? Lina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukilisifia kidogo tu linachanua.