Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Nice. Mie leo popo, kulala saa tano usiku
Hahahaa Kwendraaa kwan huwa kuna miez ya kike??!!View attachment 682735
Numbisa, mbona unatutega namna hii? Mwezi January ni mwezi dume ujue, ooh! [emoji1][emoji1]
Thank u muchUpopo once in while unapendeza 🙂
Hahahaa Kwendraaa kwan huwa kuna miez ya kike??!!
Hahahahaa wewe wasema maana huku namba zinasomeka miez yote[emoji23][emoji23][emoji23]... Yes, miezi yote ya mwaka kasoro January pekee! [emoji1][emoji1]
Hahahahaa wewe wasema maana huku namba zinasomeka miez yote
Tugawane basi, Numbisa! Mimi choka mbaya kabisa sasa hivi! Sijui hii January ina siku 60? [emoji1][emoji1]
Ona aibu bana aah usiwe kama uchebe. Gangamala kijeshi hizo siku 60 zigeuke siku 12
Mume wa shilole jamaa anabaki home kulea watoto huku shilole akichakalika kutafuta pesa. Nansio wapi!!! Mtu upo kwa Trump huko ukila mipiza na mibaga[emoji1][emoji1][emoji1] Uchebe ndio nani huyo? Sawa bhana, wacha niendelee kukandamiza dona na dagaa hapa Nansio, hii January itake/isitake lazima ifike mwisho; Insha Allah!
Mume wa shilole jamaa anabaki home kulea watoto huku shilole akichakalika kutafuta pesa. Nansio wapi!!! Mtu upo kwa Trump huko ukila mipiza na mibaga
Yoyooooo kidogo nijikwae shida hii kila siku najigonga sababu ya kutupia magazet JF. Likes hizi daah. Midaaaa
pole sanaMume wa shilole jamaa anabaki home kulea watoto huku shilole akichakalika kutafuta pesa. Nansio wapi!!! Mtu upo kwa Trump huko ukila mipiza na mibaga
Yoyooooo kidogo nijikwae shida hii kila siku najigonga sababu ya kutupia magazet JF. Likes hizi daah. Midaaaa
Hapa ndio kwenye kilele cha furaha ya mwanamke
Kijiwe "samli"[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sijui hata ulichelewa wapi jana[emoji23]Shemeji umejilipua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]