Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
kumbe eeh,yaani kuangalia tu washiba kabla hujala[emoji23][emoji23][emoji23]kazi ipo
Hata sijui nasema nini[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23]haya bhana,endelea kula ugali kwa picha ya samakiChezea kiangazi wewe! [emoji1][emoji1]
Tunawahitaji nyinyi wapendwa wetu tupendezwao nanyi mtusukume hata kwa mkokoteni ikibidi na kutupeleka huko mahospitalini jamani.Hakuna watu wagumu kwenda mahospitalini kama wanaume ndio mana wengi wao wanapogundulika na shida huwa ishafika last stage.
Come...Kutokea hapa tiketi ni less than $500....Take me there plz[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23]haya bhana,endelea kula ugali kwa picha ya samaki
For.......[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ntamalizia kesho
Anaonekana ana miaka 20Wow[emoji7]
Afya yake ina mashaka kidogoHuyu wa kushoto miguu kama ana matende[emoji124] [emoji124] [emoji124] miguu gani hiyo
Binti wa dadiiii lazima awe kibonge bana...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Nazidi kupata picha kuwa wewe ni kibonge[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Oni mai weiiii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]acha nije nikaone dunia mie kabla sijafaCome...Kutokea hapa tiketi ni less than $500....
Kiangazi cha kujitakia? Kiangazi katikati ya Equatorial forest mvua 365 days?Chezea kiangazi wewe! [emoji1][emoji1]