Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heee kuna picha zilifutwa humu? Sijaonaaa ina maana hadi humu wanaedit duh
 
Kutokana na taarifa walizotoa The Sun ni kwamba kwa sasa Shirika la Kupinga utumiaji wa dawa za kulevya la Uingereza linachunguza madai ya Arsenal ya kushindwa kuwaambia FA kuwa mchezaji huyo hakuwepo mazoezini siku ya Jumatatu.
 
Shirika hilo la FA walienda katika uwanja wa mazoezi wa Arsenal na Sanchez alikuwa katika orodha ya majina ya wachezaji ambao wanatakiwa kufanyiwa vipimo.
Lakini Arsenal wao wanatakiwa kuwajulisha FA juu ya mabadiliko yoyote kwenye ratiba zao za mazoezi kila siku inasemekana kuwa walipuuza kutokuwepo kwa Sanchez katika siku hiyo.
 
Sijui jamaa hali yake ilikuwaje baada ya hilo tukio

Itakuwa mambo yaliharibika kabisa alaf ukute anakimsambwaa ndo balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na ukute mbaba alibeba parachichi refu nene na limepindia kushoto[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kweli wanaume wameumbwa mateso[emoji23][emoji23][emoji23]maana si kwa mkao ule dah!
Mateso? Yepi?
Kwa mfano huyo mbaba alipata mateso gani?

Ningelikuwa mimi ndio huyo mbaba....
Mtihani ningelipata mia kwa mia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yeyote, awe ni mwanakamati wa Clouds, team Clouds au awe ni shabiki wa nje I like to apologize guy to say sorry to my country, sorry to this management Clouds, I love them so much all I need is support mimi naamini kwamba ukiwa mjinga kwenye kila kitu utapata kujua vitu vingi sana,” amesema Ruby.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…