Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wasanii wa Bongo flava, mmesahau kabisa harakati za SUGU kupigania muziki wenu usimame? SUGU yupo mahabusu siku kumi, wasanii mmepiga kimya, court hamtokei, Jela hamfikii kumuona, mmeamua kumtumikia “kafiri?” Mmesahau alianzisha harakati za Kugoma kuimba bure?
 
Nikki wa Pili amejibu hilo kwa kusema, “wasanii hawana umoja, chama chao hakina nguvu kwa hiyo hata kunapotokea jambo wasanii walitolee sauti kwa pamoja kuna hakuna ‘platform’ ya kushikilia jambo hilo na kujikuta kila msanii yupo peke yake, na kupaza sauti kila mtu peke yake wasanii wengi wanaogopa hilo,” amesema.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji umeanza,Nimemuone huruma huyo baba ila kama ni kiba10000 hakupata shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…